Simba na Yanga kwa Mkapa, Agosti 23, hapatoshi

Home » Simba na Yanga kwa Mkapa, Agosti 23, hapatoshi

Looking for the Best Sports Betting Companies in Tanzania? Click here

“Matokeo ya mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba utachezwa Oktoba 23, 2022 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa 11 jioni yanaweza yasiwe tofauti sana na tulivyozoea.” Hayo ni mawazo ya baadhi wa wadau/mashabiki wa mpira hapa Tanzania ambao wanaingojea kwa hamu mechi hii.

Kwa upande wa mashabiki wa Simba, wanamkubali kuwa kocha wao Juma Mgunda ataweza kudhihirisha kwao kuwa Simba ni levo nyingine.

MATOKEO YA MECHI SIMBA NA YANGA – SIMBA 1 – 1 YANGA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Copyright © 2022 BestBetting – All rights reserved ®